Blue Economy
Permanent URI for this collection
Browse
Recent Submissions
- ItemZanzibar Blue Economy Policy(Zanzibar Planning Commission, 2020-10) Zanzibar Planning CommissionThe Zanzibar Development Vision 2050 regards the blue economy as a priority area for the next 30 years, serving as an effective and sustainable means of improving livelihoods and transforming the economy. The blue economy policy has thus been developed as a guiding framework for the implementation of the sea-based economy for the coming decade. The blue economy policy aims to work in the following priority areas: fisheries and aquaculture, maritime trade and infrastructure, energy, tourism and marine and maritime governance. Through the implementation of this policy, Zanzibar has the opportunity to increase employment, improve the balance of trade, promote food and nutritional security and maintain environmental resilience. Subsequently, by 2030, given the effective operationalisation of the policy, we expect Zanzibar to be the leading hub for blue economy activities in the Western Indian Ocean region.
- ItemRipoti Kuhusu Utozaji Kodi Shughuli ya Uvuvi wa Bahari Kuu(Tanzania Revenue Authority(TRA), 2018-08-11) Tanzania Revenue Authority ( TRA )Kumekuwa na haja ndani ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) pamoja na wadau wengine wanaofuatilia makusanyo ya Serikali pia na Waheshimiwa Wabunge kuona kuwa shughuli za uvuvi katika Bahari Kuu zinaongeza mchango wake katika mapato ya Serikali hasa mapato yatokanayo na kodi. Msukumo huo umepelekea uwepo wa juhudi mbalimbali tangu mwaka 2003 ndani ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) pamoja na Taasisi nyingine za Serikali kama Ofisi ya Bunge, Ofisi ya Waziri Mkuu, Wizara ya Fedha na Wizara ya Kilimo na Uvuvi kutaka kupata mapato ya kodi yatokanayo na Uvuvi wa Bahari Kuu. Juhudi hizi zimehusisha kufanya tafiti mbali mbali, kufanya vikao na wadau wa Sekta hii pamoja na kufanya ziara ya kupata uzoefu kutoka nchi zingine zenye Uvuvi wa Bahari Kuu zikiwemo Kenya, Msumbiji na Ushelisheli kwa lengo la kuona ni namna gani nchi hizo zinavyopata mapato kutoka kwenye Sekta ya uvuvi wa Bahari Kuu. Kufuatia juhudi hizi, TRA ilitoa mapendekezo kadha wa kadha yanayolenga kuhakikisha kuwa Tanzania inanufaika na rasilimali samaki walioko katika Ukanda Maalumu wa Uchumi (EEZ) wa Tanzania ili kuchangia katika pato la Taifa. Mbali na juhudi hizo za pamoja, TRA imekuwa na juhudi zake za ndani za kutaka kujua namna bora ya kupata mapato ya Serikali kutokakwenye uvuvi wa Bahari Kuu.